Yohana 1:42
Print
Kisha Andrea akamleta Simoni nduguye kwa Yesu. Yesu akamtazama, na kumwambia, “Wewe ndiwe Simoni, mwana wa Yohana. Basi utaitwa Kefa.” (“Kefa” tafsiri yake ni “Petro”.)
Andrea akampeleka Simoni kwa Yesu. Yesu akamtazama, akasema, “Wewe ni Simoni mwana wa Yohana; sasa utaitwa Kefa.” Tafsiri ya Kefa kwa Kigiriki ni Petro, maana yake ‘Mwamba’.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica